Help street children in Tanzania

Home>Habari>Uncategorized>Mradi Mpya Chigongwe

Kwa msaada wa wadau wetu, Arcobaleno su Tanzania, tumekamilisha ujenzi wa bwawa la kufugia samaki, karibu na makao ya watoto kituo cha Chigongwe. Tunaratajia kuanza kufuga samaki baada ya siku kumi hivi.

Tumekuwa tukishauriwa na wataalamu wetu kufuga bata ambao watasaidia kufanya maji yawe safi kwa ajili ya samaki na kuondoa nyoka au wadudu wengine hatarishi.