Timu Yetu

kidedet staff

Kitu muhimu sana katika shurika. Zaidi ya watu 30 wanafanya kazi ndani ya KISEDET katika kutimiza shughuli za shirika Tanzania.

Kila siku, kwa kujidhatiti na kwa moyo wa upendo, tunamshukuru Enidy, Issa, Deusdedith, Hamisi, David, Leah, George, Sechelela, Mama Peter, Peter, Edwin, Laurent, Mtangoo, Maria, Yohana, Maimuna, Mama Mika, Anderson, Isack, Leonard, Mandago, Sabina, Johny, Fulgence, Alvin, Aidan, Steven, Freddie, Saidi, Ismail, Giovanna Mbeleje.