Njia nyingine za kuchangia

Matukio

Kuwa Balozi wa KISEDET

KISEDET ina uhusiano mbalimbali, inaweza ikawa ufadhili wa mtu mmoja mmoja au uhusiana na taasisi wadau, tunaamini kwamba kwa pamoja tunaweza kuupinga umasikini kwa njia mbalimbali mpya na uwekezaji.

Wasiliana nasi na tutakusaidia kupanga na kuratibu harambee.

Kumbukumbu
Ili kukumbuka mpendwa aliyefariki, toa mchango katika kumkukumbuka.
Tutashughulikia kutuma barua ya asante kwa familia ya marehemu, lakini ikiwa unataka, unaweza kuandika mwenyewe au kuongeza sentensi kwa maandishi yaliyofafanuliwa awali; bila shaka, tutathibitisha kwamba sentensi iliyoongezwa inapatana na maadili yetu.

Ni nani yupo nasi kwenye mpango huu? Wasiliana nasi :
info@kisedet.org

Nani wa kuwasiliana kuhusu mpango huu? Wasiliana kupitia :
info@kisedet.org