Timu Yetu Giovanna Moretti MbelejeMwanzilishi KISEDET Anderson Andrea NdonuMkurugenzi KISEDET Fulgence Ado NkaneAfisa ugavi na mwongoza watalii katika mradi wa "Tukutane Mbuyuni" Edwin Alphonce ShayoMhasibu na mratibu wa miradi KISEDET Suzan Raymond UronuMsaidizi wa uhasibu Mtahu Mtahu MuhibuMtaalamu wa saikolojia na afisa usalama na ulinzi wa mtoto KISEDET Hamisi Mazengo NdojeAfisa ustawi Iidara ya OVC na CWD, na msimamizi wa mradi wa uwezeshaji wa familia. Isaac Abeli NsomiAfisa ustawi wa Makao ya kutwa (Drop-In) Sabina PeterAfisa Ustawi Idara ya familia na makao ya watoto ya muda mfupi Shukurani. Maimuna Iddi KaluoMama mdogo katika makao ya watoto ya muda mfupi Shukurani. Mpishi. Saraphina MhowelaMwandishi wa miradi na Afisa ufuatiliaji na tathmini KISEDET. Veronica Christopher MdedeMama mkubwa katika makao ya watoto ya muda mfupi Shukurani. Mpishi. Mwendwa Petro MwihambiMratibu wa makao ya watoto ya muda mfupi Shukurani. Mama mdogo. Aidan Ndahani Ndalu Mlinzi wa usiku katika makao ya watoto muda mfupi Shukurani. Moringe MkotoyoMlinzi wa usiku katika makao ya watoto ya muda mfupi Shukurani. Ismaily Juma ChangaMlinzi wa usiku katika makao ya watoto ya muda mfupi Shukurani. Joeli John MihayoDereva Mkuu KISEDET Basil Francis MaseleDereva KISEDET Virginia FrancisMama mdogo katika makao ya watoto ya muda mrefu Chigongwe family. Mpishi Baraka Jonas MdachiAfisa ustawi katika makao ya watoto ya muda mrefu, Chigongwe family. Leah Katanga MbutuMsimamizi wa bustani na wa nyumba ya wageni "Elena Fontana", katika makao ya watoto ya muda mrefu Chigongwe family. Sechelela Aine MwigutiMpishi katika makao ya watoto ya muda mrefu, Chigongwe family. Deusdedith Nkakya RweikizaMsimamizi wa bustani ya miche na mradi wa uvuvi, katika makao ya watoto ya muda mrefu, Chigongwe family. Aloyce Paul MnangeMkuu wa Idara ya ujenzi KISEDET. Issa Mussa KarimbuMsimamizi wa bustani na uwanja wa mpira, katika makao ya watoto ya muda mrefu, Chigongwe family. George AndersonMachindaMlinzi wa usiku katika makao ya watoto ya muda mrefu cha Chigongwe family. Laurent Ezekia MwajaMlinzi wa usiku katika makao ya watoto ya muda mrefu cha Chigongwe family. Francis MwalukoMwagulukuwawaMlinzi wa mchana na msimamizi wa bustani ya maua katika nyumba ya wageni "Elena Fontana".