Watoto wenye ulemavu (CWDs)

Mwaka 2021, Kisedet ilafanya tathimini ya kina juu ya elimu jumuishi kwa watoto wenye ulemavu katika jiji la Dodoma.

Mradi KISEDET na Agata Smeralda unatumia mbinu mbili ambayo ni ujumuishi wa jamii na kutembelea mashule.

[Read more…]