Mazingira hayo yamesababisha ongezeko kubwa la watoto wa mitaani.
KISEDET inasaidia watoto kupata elimu kwa maisha bora.
Fahamu ZaidiJulius Kambarage Nyerere kutoka kwenye kitabu chake cha Uhuru na Maendeleo, (freedom and Development 1973).
Mazingira hayo yamesababisha ongezeko kubwa la watoto wa mitaani.
Makao ya muda mfupi Dodoma …
Makao ya watoto Chigongwe …
Agalia jinsi tulivyowafikia mamia ya watoto na kuwasaidia
Tarehe 7, Februari 2024 vijana wawili waliokuwa wakiishi na kufanya kazi mitaani waliondolewa katika Njiro Sober House, jijini Arusha.Vijana hao katika Sober House. Kutoka kushoto kwenda kulia: Hamisi, Rashidi, Kais, Mathayo na Stanley.
Imeshapita miezi minne, tangu Mradi wa UCS ulianza. Mradi unalenga kuwaunganisha watoto na familia zao. Hapa chini UCS wametoa mawazo yao kuhusu uwepo wao katika kipindi hiki.
Mradi wa WISE unalenga kuboresha uwezo wa shirika kuendelea kutekeleza shughuli zinazoruhusu watoto wenye umri kuanzia miaka 4 mpaka 14, wanaoishi katika makazi ya muda mfupi ya Shukurani, au wale wanaoenda katika kituo cha mapokezi cha mchana (drop-in centre), kurudishwa katika makazi yao na baadae kuishi na familia zao baada ya kuunda mazingira salama kwa ajili yao.